Study your flashcards anywhere!

Download the official Cram app for free >

 • Shuffle
  Toggle On
  Toggle Off
 • Alphabetize
  Toggle On
  Toggle Off
 • Front First
  Toggle On
  Toggle Off
 • Both Sides
  Toggle On
  Toggle Off
 • Read
  Toggle On
  Toggle Off
Reading...
Front

How to study your flashcards.

Right/Left arrow keys: Navigate between flashcards.right arrow keyleft arrow key

Up/Down arrow keys: Flip the card between the front and back.down keyup key

H key: Show hint (3rd side).h key

A key: Read text to speech.a key

image

Play button

image

Play button

image

Progress

1/69

Click to flip

69 Cards in this Set

 • Front
 • Back
matembezi
walk
jioni
evening
mafundi
craftsman
kumaliza
to finish
kukarabati
to repair
kanisa
church
kanisa lile
that church
bado
not yet
paa
roof
kuta
walls
sasa
now
saa kumi u nusu
4.30pm
kujua
to know
baada ya chakula cha mchana
after lunch
mchana
daytime
maktaba
library
asome
she should read
magazeti
newspapers
afadhali
preferably
kuchelewa
to be late
hivi
like this
kutoka
to leave
mapema
early
mara
suddenly
kuona
to see
shanga
beads
kuanza
to start
twende wapi?
where should we go?
tuendelee
let's continue
kutembea
to walk
bahari
sea
nafasi
opportunity
boti
small motorised boat
tikiti
ticket
ofisi
office
ukuta
wall
ratiba
timetable
dakika
minute
zaidi
more
Mafundi wamemaliza kukarabati kanisa lile?
Have the craftsman finished repairing that church?
Wamekarabati paa, lakini kuta bado.
They have repaired the roof, but not the wall yet.
Sasa ni saa kumi u nusu
Now it is 4.30pm
Dada yuko wapi, basi?
so where is your sister?
Baada ya chakula cha mchana alisema atakwenda maktaba asome magazeti ya Kiingereza.
After lunch she said she will go to the library she read English newspapers
Afadhali asome magazeti ya Kiswahili
It better she reads Swahili newspapers.
Nimechelewa sana
I am very late
Mbona umechelewa hivi?
Why are you late like this?
Nilitoka maktaba mapema.
I left the library early
Mara niliona shanga zangu nyeupe zimepotea.
Suddenly I saw my white beads were lost.
Nilianza kuzitafuta njiani karibu na maktaba
I first looked for them on the road near the library.
Umezipata?
Did you get them?
Sikuzipata
I didn't get them.
Twende wapi?
Where are we going?
Tuendelee kutembea karibu na bahari?
Will we continue to walk near the sea?
Haya, twende.
Ok, let's go.
Mtapata nafasi kwenda Zanzibar kwa boti?
Will you get time to go to Zanzibar by boat?
Mtapata tikiti ofisini pale
You will get a ticket in the office over there.
Ukutani pana ratiba.
On the wall there is a timetable
Afadhali twende Zanzibar kwa ndege.
It is better we go to Zanzibar by plane.
Ni safari ya dakika ishirini tu.
Is a journey of just 20 minutes.
Lakini ni ghali zaidi!
But it is more expensive!
kucha
the whole night
kutwa
the whole day
siku
day
usiku
night
saa mbili na robo
8.15
saa tatu kasa robo
8.45
saa mbili na dakika tano
8.05
saa tatu kasa dakika mbili
8.58