• Shuffle
    Toggle On
    Toggle Off
  • Alphabetize
    Toggle On
    Toggle Off
  • Front First
    Toggle On
    Toggle Off
  • Both Sides
    Toggle On
    Toggle Off
  • Read
    Toggle On
    Toggle Off
Reading...
Front

Card Range To Study

through

image

Play button

image

Play button

image

Progress

1/173

Click to flip

Use LEFT and RIGHT arrow keys to navigate between flashcards;

Use UP and DOWN arrow keys to flip the card;

H to show hint;

A reads text to speech;

173 Cards in this Set

  • Front
  • Back
dereva
driver
teksi
taxi
sana
very, very much
hapana
no
nakwenda (ni-na-kwenda)
I'm going (to)
posta
post office
iko
it is (located)
karibu
near, nearby
nenda
go (to one person)
moja kwa moja
straight on
halafu
then
pinda
turn
kushoto
left
utaona (u-ta-ona)
you will see
upande wa kulia
(on) the right side (lit. side of right)
haya
OK
asante
thanks
kwa heri
goodbye
karibu tena
a polite farewell (lit. welcome again)
kulia
right
Hujambo, bwana? Teksi?
How are you, sir? Taxi?
Sijambo, bwana. Habari za asubuhi?
I'm fine, sir. How is everything this morning?
Safi sana, bwana. Teksi?
Very good, sir. Taxi?
Hapana. Nakwenda posta tu. Iko karibu?
No. I'm going (to) the post office. Is it nearby?
Iko karibu sana. Nenda moja kwa moja, halafu pinda kushoto. Nenda moja kwa moja, moja kwa moja, halafu utaona posta, upande wa kulia.
It is very nearby. Go straight on, then turn left. Go straight on, straight on, then you will see the post office, on the right side.
Haya, asante sana, bwana. Kwa heri!
Ok, thank you very much, sir. Goodbye!
Haya, bwana. Karibu tena.
Ok, sir. A polite farewell (lit. welcome again)
asubuhi
morning
barua
letter
chai
tea
chumvi
salt
habari
news
kahawa
coffee
kompyuta
computer
mvua
rain
ndizi
banana
nguo
garment
njia
road
nyumba
house
posta
post office
safari
journey
shilingi
shilling
stampu
stamp
sukari
sugar
teksi
taxi
Singular: i-
Teksi inatoka wapi?
Where is the taxi come from?
Plural: zi-
Teksi zinatoka wapi?
Where are the taxis coming from?
askari
soldier (also used for policeman, which is "askari polisi" in full
baba
father
dada
sister
kaka
brother
kuku
chicken, hen
mbu
mosquito
mbuzi
goat
mbwa
dog
ng'ombe
cow
nyoka
snake
paka
cat
rafiki
friend
samaki
fish
Askari anatoka wapi?
Where does the policeman come from?
Askari wanatoka wapi?
Where do the policeman come from?
Paka anatoka wapi?
Where does the cat come from?
Paka wanatoka wapi?
Where do the cats come from?
Sukari iko wapi?
Where is the sugar?
Nguo ziko wapi?
Where are the clothes?
Niko wapi?
Where am I?
Mohamed yuko wapi?
Where is mohamed?
Tuko wapi?
Where are we?
John na Alison wako wapi?
Where are John and Alison?
-ko
refers to indefinite location, and is therefore the form use when asking where someone or something is.
-po
refers to definite location, as in yupo posta, shes at the post office, not necessarily inside it- she might be waiting just outside.
-mo
refers to location inside, as in yumo posta, she's inside the post office- perhaps sheltering from heavy rain.
nitapata (ni-ta-pata)
I will get
hapa
here
hutapata (hu-ta-pata)
you will not get
angalia
look, pay attention
juu
up, above, top
hundi za posta
postal orders
simama
stand
pale
over there
utapata (u-ta-pata)
you will get
naomba (ni-na-omba)
I want
kwa
for
barua
letter
hizi
these
kwenda (ku-enda)
to go
kwa ndege
by air (ndege is aeroplane and bird)
karani
clerk
una
you have
ngapi?
how many?
nina
I have
three
tatu
za
of
shilingi
shilling
mia moja na sabini
170
mia tano na kumi
510
hii
this
nataka
I want, need
kupeleka
to send
one
moja
ya
of
arobaini
40
jumia
total
mia tano na hamsini
550
chukua
take
chenji
change
mia nne na hamsini
450
(to a young woman nearby) Habari gani, bibi?
How are you you, Ms.?
Nzuri, bwana.
I'm fine, Sir.
Nitapata stampu hapa?
I will get stamps here?
Hapana, hutapata stampu hapa. Angalia juu! (she reads aloud the notice above the counter:) 'Hundi za posta'. Simama pale. Utapata pale.
No, you will not get stamps here. Look up! 'Postal orders' Stand over there. You will get them over there.
(to the counter clerk at the correct window) Naomba stampu kwa barua hizi, kwenda Uingereza kwa ndege.
I want stamps for these letters, to go to Britain by air.
za
of
shilingi
shilling
mia moja na sabini
170
mia tano na kumi
510
hii
this
nataka
I want, need
kupeleka
to send
one
moja
ya
of
arobaini
40
Barua ngapi?
How many letters?
Nyumba ngapi?
How many houses?
Shilingi ngapi?
How many shillings?
Askari wangapi?
M/Wa- for people and other creatures
How many soldiers?
Mbuzi wangapi?
How many goats?
Ng'ombe wangapi?
How many cows?
Paka wangapi?
How many cats?
one
moja
two
mbili
three
tatu
four
nne
five
tano
six
sita
seven
saba
eight
nane
nine
tisa
ten
kumi
11
kumi na moja
12
kumi na mbili
13
kumi na tatu
14
kumi na nne
15
kumi na tano
16
kumi na sita
17
kumi na saba
18
kumi na nane
19
kumi na tisa
20
ishirini
22
ishirini na mbili
30
thelathini
33
thelathini na tatu
40
arobaini
44
arobaini na nne
50
hamsini
55
hamsini na tano
60
sitini
66
sitini na sita
70
sabini
77
sabini na saba
80
themanini
88
themanini na nane
90
tisini
99
tisini na tisa
100
mia
101
mia na moja
200
mia mbili
250
mia mbili na hamsini
999
mia tisa, tisini na tisa
1000
elfu
watoto ishirini na watatu
23 children
watoto arobaini na watano
45 children