• Shuffle
    Toggle On
    Toggle Off
  • Alphabetize
    Toggle On
    Toggle Off
  • Front First
    Toggle On
    Toggle Off
  • Both Sides
    Toggle On
    Toggle Off
  • Read
    Toggle On
    Toggle Off
Reading...
Front

Card Range To Study

through

image

Play button

image

Play button

image

Progress

1/61

Click to flip

Use LEFT and RIGHT arrow keys to navigate between flashcards;

Use UP and DOWN arrow keys to flip the card;

H to show hint;

A reads text to speech;

61 Cards in this Set

  • Front
  • Back

Zero

Sifuri

One

Moja

Two

Mbili

Three

Tatu

Four

Nne

Five

Tano

Six

Sita

Seven

Saba

Eight

Nane

Nine

Tisa

Ten

Kumi

Fifteen

Kumi na tano

Twelve

Kumi na mbili

Seventeen

Kumi na saba

Twenty

Ishirini

Thirty

Thelathini

A hundred

Mia / mia moja

Forty

Arobaini

Fifty

Hamsini

Sixty

Sitini

Seventy

Sabini

Eighty

Themanini

Ninety

Tisini

900

Mia tisa

400

Mia nne

57

Hamsini na saba

84

Themanini na nne

66

Sitini na sita

38

Thelathini na nane

21

Ishirini na moja

One thousand

Elfu / elfu moja

7000

Elfu saba

300.000

Elfu mia tatu

445

Mia nne arobaini na tano

629

Mia sita ishirini na tisa

271

Mia mbili sabini na moja

1.473

Elfu moja mia nne sabini na tatu

25.870

Elfu ishirini na tano, mia nane na sabini

470.241

Elfu mia nne na sabini, mia mbili arobaini na moja

One million

Millioni

One billion

Billioni

11.014.576

Millioni kumi na moja, elfu kumi na nne, mia tano sabini na sita

439.157.246

Millioni mia nne thelathini na tisa, elfu mia moja hamsini na saba, mia mbili arobaini na sita

Half

Nusu

A third

Theluthi / thuluthi

A quarter

Robo

A fifth

Humusi

A sixth

Sudusi / sudusu

A seventh

Subui

An eighth

Thumuni

A ninth

Tusui

A tenth

Ushuri

Three tenths

Ushuri tatu

Six sevenths

Subui sita

Four fifths

Humusi nne

Eight ninths

Tusui nane

Two thirds

Thuluthi mbili

I have eaten a fifth of the banana

Nimekula humusi moja ya ndizi

The Swahili class has five sixths of students today

Darasa la Kiswahili lina wanafunzi sudusi tano leo

Half of the American people is poor

Nusu ya watu Marekani ni maskini

Three-quarters of the students are women

Wanafunzi robo tatu ni wanawake