• Shuffle
    Toggle On
    Toggle Off
  • Alphabetize
    Toggle On
    Toggle Off
  • Front First
    Toggle On
    Toggle Off
  • Both Sides
    Toggle On
    Toggle Off
  • Read
    Toggle On
    Toggle Off
Reading...
Front

Card Range To Study

through

image

Play button

image

Play button

image

Progress

1/80

Click to flip

Use LEFT and RIGHT arrow keys to navigate between flashcards;

Use UP and DOWN arrow keys to flip the card;

H to show hint;

A reads text to speech;

80 Cards in this Set

  • Front
  • Back

rudia

repeat

maagizo ya darasani

classroom instructions

profesa

professor

mwalimu

teacher

mwanafunzi

student

jibu

answer

uliza

ask

unaelewa?

do you understand?

mnaelewa?

do you all understand?

ndiyo

yes

la; hapana

no

swali

question

mna swali

does anyone have a question?

mwalimu, nina swali

teacher, I have a question

sielewi

I do not understand

sikiliza

listen (s. command)

sikilizeni

listen (pl. command)

simama

stand

tafadhali, simama

please, stand

keti; kaa

sit

tafadhali, keti/kaa

please, sit down

kusanya

collect

karatasi

paper

tafadhali, kusanya karatasi

please, collect the papers

leta

bring

tafadhali, leta karatasi

please, bring the papers

enda

go

tafadhali, enda

please, go

tazama

look

funga kitabu

close the book

fungua kitabu

open the book

tafadhali

please

tafadhali rudia

please repeat

tafadhali, fungua kitabu

please, open the book

tafadhali, nyamaza

please, be quiet (sing.)

tafadhali, nyamazeni

please, be quiet (pl.)

tafadhali, ongea/zungumza/ sema katika Kiingereza

please, speak in English

tafadhali, jibu katika/kwa Kiswahili

please, respond in Kiswahili

tafadhali, ongea/zungumza/sema katika Kiswahili

please, speak in Kiswahili

polepole

slowly

tafadhali, ongea/zungumza/sema polepole

please, speak slowly

taja

mention

tamka

pronounce

soma

read; study

andika

write

andika kwa Kiswahili

write in Kiswahili

tafadhali soma

please read

kumbuka

remember (sing.)

mnakumbuka

remember (pl.)

jaribu

try

tena

again

jaribu tena

try again

karibu

welcome

tafadhali fungua mlango

please open the door

tafadhali funga mlango

please close the door

tafadhali kaa/keti

please sit (sing.)

"Crying" ni nini kwa Kiswahili?

What is "crying" in Kiswahili?

tafsiri

translate

chemsha bongo

brain teaser

sijui

I do not know

kwaheri

bye

kwaheri, tutaonana kesho

goodbye, hope to see you tomorrow

kwaheri, tutaonana baadaye

goodbye, hope to see you later

asante

thank you

asante sana

thank you very much

njoo

come

tafadhali, njoo

please, come

samahani

pardon; excuse me

samahani, mwalimu, nina swali

excuse me, teacher, I have a question

haraka

fast

tafadhali, ongea/zumgumza/sema haraka haraka

please, speak quicker

vizuri

good

vizuri sana

very good

Wewe ni mzuri.

You are good.

Wewe ni mbaya.

You are bad.

kazi nzuri

good work

kazi ya nyumbani

homework

Leo tutasoma ...

Today we will learn ...

Jana tulisoma nini?

What did we learn/study yesterday?

Leo tumesoma nini?

What have we learned/studied today?