• Shuffle
    Toggle On
    Toggle Off
  • Alphabetize
    Toggle On
    Toggle Off
  • Front First
    Toggle On
    Toggle Off
  • Both Sides
    Toggle On
    Toggle Off
  • Read
    Toggle On
    Toggle Off
Reading...
Front

Card Range To Study

through

image

Play button

image

Play button

image

Progress

1/94

Click to flip

Use LEFT and RIGHT arrow keys to navigate between flashcards;

Use UP and DOWN arrow keys to flip the card;

H to show hint;

A reads text to speech;

94 Cards in this Set

  • Front
  • Back

siku

day

juma

week

wiki

week

jumatatu

monday

jumanne

tuesday

jumatano

wednesday

alhamisi

thursday

ijumaa

friday

jumamosi

saturday

jumapili

sunday

juzi

day before yesterday

jana

yesterday

leo

today

kesho

tomorrow

kesho kutwa

day after tomorrow

Utafanya nini kesho?

What will you do tomorrow?

Jana ulifanya nini?

What did you do yesterday?

Umefanya nini leo?

What did you do today?

Umefanya nini leo asubuhi?

What did you do this morning?

jimbo

state

mji

city

kijiji

village

karibu na

near

kwa sasa

for now

katika

at/ within

Wewe unatoka wapi?

Where do you come from?

Jina langu ni...

My name is...

Mimi ninatoka nchi ya... jimbo la... mji wa...

I come from the county of... the state of... the city of...

Mmarekani

American

Mwamerika

American

Mtanzania

Tanzanian

Amerika

America

Marekani

America

Gani?

which/what?

Kiingereza

English

lugha

language

kidogo

a little

sana

very much

na

and

Mimi ninasema Kiingereza na Kiswahili kidogo.

I speak English and a little Swahili

Januari

January

Februari

February

Machi

March

Aprili

April

Mei

May

Juni

June

Julai

July

Agosti

August

Septemba

September

Oktoba

October

Novemba

November

Desemba

December

tarehe

date

mwezii

month

mwaka

year

lini

when

Ulizaliwa lini?

When were you born?

saa moja asubuhi

7 am

saa mbili asubuhi

8 am

saa tatu asubuhi

9 am

saa nne asubuhi

10 am

saa tano asubuhi

11 am

saa sita mchana

noon

saa saba mchana

1 pm

saa nane mchana

2 pm

saa tisa mchana

3 pm

saa kumi jioni

4 pm

saa kumi na moja jioni

5 pm

saa kumi na mbili jioni

6 pm

saa kumi na mbili alfajiri

6 am

saa kumi na moja alfajiri

5 am

saa moja usiku

7 pm

saa mbili usiku

8 pm

saa tatu usiku

9 pm

saa nne usiku

10 pm

saa tano usiku

11 pm

saa sita usiku

midnight

saa saba usiku

1 am

saa nane usiku

2 am

saa tisa usiku

3 am

saa kumi alfajiri

4 am

mchana

afternoon

adhuhuri


midday

jioni

evening

alfajiri

dawn

saa

hour

dakika

minutes

sekunde

seconds

nusu

half

robo

quarter/ quarter after

kasororobo

three quarters/ quarter til

Saa ngapi?

What time?

Ni saa ngapi?

What is the time?

sasa

right now