• Shuffle
    Toggle On
    Toggle Off
  • Alphabetize
    Toggle On
    Toggle Off
  • Front First
    Toggle On
    Toggle Off
  • Both Sides
    Toggle On
    Toggle Off
  • Read
    Toggle On
    Toggle Off
Reading...
Front

Card Range To Study

through

image

Play button

image

Play button

image

Progress

1/43

Click to flip

Use LEFT and RIGHT arrow keys to navigate between flashcards;

Use UP and DOWN arrow keys to flip the card;

H to show hint;

A reads text to speech;

43 Cards in this Set

  • Front
  • Back

Chair (s)

Kiti / viti

Shoe (s)

Kiatu / viatu

Knife / knives

Kisu / visu

Cup (s)

Kikombe / vikombe

Hill (s)

Kilima / vilima

Island (s)

Kisiwa / visiwa

Potato(es)

Kiazi / viazi

Onion (s)

Kitunguu / vitunguu

Thing(s)

Kitu / vitu

Bed(s)

Kitanda / vitanda

Mirror (s)

Kioo / vyoo

Match(es)

Kiberiti / viberiti

Restroom (s)

Choo / vyoo

Food (s)

Chakula / vyakula

Room (s)

Chumba / vyumba

House(s)

Chengo / vyengo

Container(s), utensil(s)

Chombo / vyombo

Party, association(s), club(s)

Chama / vyama

Rank(s)

Cheo / vyeo

Iron (s)

Chuma / vyuma

Head(s)

Kichwa / vichwa

Waist (s)

Kiuno / viuno

Chest (s)

Kifua / vifua

Finger (s)

Kidole / vidole

Navel(s)

Kitovu / vitovu

Ankle(s), wrist(s)

Kiwiko / viwiko

Heel (s)

Kisigino / visigino

To be cooked (root)

Pikwa

To be/get closed

Fungwa

College (s) / higher education institute (s)

Chuo / vyuo

To be broken (root)

Vunjwa

The chair was broken / the chairs will be broken

Kiti kilivunjwa / viti vitavunjwa

The college has been closed / the colleges were closed

Chuo kimefungwa / vyuo vilifungwa

The food will be cooked / the foods have been cooked

Chakula kitapikwa / vyakula vimepikwa

The quiet (s)

Kimya / kimya

The thirst (s)

Kiu / kiu

Moderate / modicum

Kiasi / kiasi

His quietness scared me

Kimya chake kilinitisha

To scare (root)

-tisha

To wane, reduce (root)

-pungua

My thirst has waned

Kiu changu kimepungua

War (s)

Vita / vita

Drama (s)

Vitimbi / vitimbi