• Shuffle
    Toggle On
    Toggle Off
  • Alphabetize
    Toggle On
    Toggle Off
  • Front First
    Toggle On
    Toggle Off
  • Both Sides
    Toggle On
    Toggle Off
  • Read
    Toggle On
    Toggle Off
Reading...
Front

Card Range To Study

through

image

Play button

image

Play button

image

Progress

1/76

Click to flip

Use LEFT and RIGHT arrow keys to navigate between flashcards;

Use UP and DOWN arrow keys to flip the card;

H to show hint;

A reads text to speech;

76 Cards in this Set

  • Front
  • Back

Blanket (s)

Blanketi / mablanketi

Window (s)

Dirisha / madirisha

Car (s)

Gari / magari

Newspaper (s)

Gazeti / magazeti

Mattress(es)

Godoro / magodoro

Box (es)

Sanduku / masanduku

Gas cooker (s)

Jiko / meko

Desk(s)

Dawati / madawati

Veranda(s)

Baraza / mabaraza

Bridge (s)

Daraja / madaraja

Shop(s)

Duka / maduka

Farm(s), field(s)

Shamba / mashamba

Market (s)

Soko / masoko

Lake(s)

Ziwa / maziwa

State(s)

Jimbo / majimbo

Name(s)

Jina / majina

Mistake(s)

Kosa / makosa

Word(s)

Neno / maneno

Issue (s)

Jambo / mambo

Stone(s)

Jiwe / mawe

Subject (s), lesson (s)

Somo / masomo

Thought(s)

Wazo / mawazo

Answer (s)

Jibu / majibu

Question (s)

Swali / maswali

Responsibility / responsibilities

Jukumu / majukumu

Week (s)

Juma / majuma

Eye (s)

Jicho / macho

Tooth / teeth

Jino / meno

Shoulder(s)

Bega / mabega

Knee (s)

Goti / magoti

Ear (s)

Sikio / masikio

Stomach (s), bowels

Tumbo / matumbo

Thigh(s)

Paja / mapaja

Orange (s)

Chungwa / machungwa

Mango(es)

Embe / maembe

Lemon (s)

Limau / malimau

Pineapple(s)

Nanasi / mananasi

Fruit (s)

Tunda / matunda

Papaya (s)

Papai / mapapai

Coconut (s), (with milk)

Dafu / madafu

Leaf / leaves

Jani / majani

Egg(s)

Yai / mayai

Dress (es)

Rinda / marinda

Bean (s)

Maharagwe / maharagwe

Water

Maji

Oil

Mafuta

Corn, maize

Mahindi

Wealth

Mali

Misfortune

Maafa

Problems

Matata

Environment

Mazingira

Articles

Makala

Residence

Maskani

Saliva

Mate

Conversation

Mazungumzo

Cologne

Marashi

Morality

Maadili

Knowledge

Maarifa

Power / authority

Mamlaka

Love

Mahaba

Beddings

Malazi

Darkness

Giza

Sun

Jua

Heat / warmth

Joto

Sweat

Jasho

Commotion

Gubu

Body odor

Gugumo

Drowsiness

Lepe

The car has arrived / the cars have arrived

Gari limefika / magari yamefika

The eye hurts / the eyes hurt

Jicho linauma / macho yanauma

To be bought

Kununuliwa

oil will be bought tomorrow / oils will be bought tomorrow

Mafuta yatanunuliwa kesho / mafuta yatanunuliwa kesho

Sweat is coming out / sweats are coming out

Jasho linatoka / jasho linatoka

My knee / your knees

Goti langu / magoti yako

To be attractive

Kupendeza

The environment is attractive / the environments are attractive

Mazingira yanapendeza / mazingira yanapendeza