• Shuffle
    Toggle On
    Toggle Off
  • Alphabetize
    Toggle On
    Toggle Off
  • Front First
    Toggle On
    Toggle Off
  • Both Sides
    Toggle On
    Toggle Off
  • Read
    Toggle On
    Toggle Off
Reading...
Front

Card Range To Study

through

image

Play button

image

Play button

image

Progress

1/163

Click to flip

Use LEFT and RIGHT arrow keys to navigate between flashcards;

Use UP and DOWN arrow keys to flip the card;

H to show hint;

A reads text to speech;

163 Cards in this Set

  • Front
  • Back

-la

to eat

-fa

to die

-nywa

to drink

-ja

to come

-pa

to give

angalia

to look

andika

to write

anza

to start

acha

to leave

ambia

to tell

aga

to bid farewell

beba

to carry

busu

to kiss

bariki

to bless

bweka

to bark

cheza

to play

choka

to get tired

chora

to draw

choma

to burn, roast, stab

cheka

to laugh

chemka

to get boiled

chemsha

to boil

dai

to claim

dumu

to last

fanya

to do

funga

to close

fungua

to open

fuata

to follow

funza/fundisha

to teach

fika

to reach/arrive

fikiri

to think

fariki

to die

goma

to strike (workers)

gonga

to strike (hit)

haribu

to destroy

hisi

to feel

hama

to move

hema

to pant

imba

to sing

iga

to imitate

ingia

to enter

ita

to call

jenga

to build

kaa/keti

to sit

kamata

to catch/hold

kata

to cut

kuta

to meet

kumbuka

to remember

kubali

to agree

kosa

to make error

kohoa

to cough

koroma

to snore

lia

to cry

lala

to sleep

lipa

to pay

maliza

to finish

meza

to swallow

meremeta

to shine

nasa

to nab

nuka

to stink

nusa

to smell/sniff

nguruma

to roar

penda

to love

panda

to climb

pamba

to adorn

peleka

to take to

pokea

to receive

pika

to cook

pumzika

to rest

puuza

to ignore

ona

to see

oka

to bake

oga

to wash

omba

to pray

ramba

to lick

ruka

to jump

rudi

to return

saidia

to help

safiri

to travel

safisha

to clean

sema

to say

soma

to read/study

simama

to stand

shika

to catch/hold

shinda

to win

sikia

to hear

sikiliza

to listen

tazama

to look

tega

to trap

tembea

to walk

tuma

to send

toka

to get out

toa

to remove

tia

to put

uma

to bite

ua

to kill

vaa

to wear

vua

to undress

waza

to think

weza

to be able

wika

to crow

waka

to light

zaa

to give birth

zika

to bury

zima

to extinguish

zungumza

to talk

Ki tense

Ki added to 2nd verb


ex: (Nilimkuta Joan aKIsoma gazeti)

Future Tense

-ta

Past Tense

-li

Present Tense

-na

Perfect Tense

-me

Nge/Ngali (negation)

Add -si- before nge/ngali


ex: Mama asingalinunua nguo ya samawati




ex: Usingeniuliza swali, nisingejibu

Shairi hili beta ngapi?

How many stanzas are there?

Kina cha katikati ni _____, na kina cha mwisho ni _____.

Mid-rhyme is _____, end rhyme is ______.

Kichwa cha shairi hili ni _____.

The heading is ______.

Kibwagizo cha shairi ni ______.

The chorus is ______.

Kila ubeti una mishororo mingapi?

Each stanza has how many lines?

Object markers

Look at adjective after




ex: Liligonga miti mirefu

Tafadhali

sorry, excuse me

Samahani

Pardon, forgive me

Pole

I am sorry

Maskini

Poor ( poor baby)

Aga dunia/ fariki kufa

to die, pass away

Marehemu

the late ( deceased)

enda msalani

to go to the toilet

kwenda haja

call of nature

mja mzito

pregnant mother

Kujifungua kuzaa

to give birth

Endesha kuhara

diarrhea

Verb extensions

e or o- use e


a i or u- use same

baada ya

after

kabla ya

before

badala ya

instead of

kati ya

between

katikati ya

in the middle of

dhidi ya

against

baina ya

among

mbele ya

in front of

nyuma ya

behind

juu ya

on top of

chini ya

below

kando ya

opposite, beside

mbali ya

away from

bali na

apart from

karibu na

near

kwa sababu ya

because of

kwa niaba ya

on behalf of

kwa ajili ya

for the sake of

Askari mlangoni?

kufuli

Nyumba yangu ina nguzo moja?

Uyoga

Nyumba yangu haina mlango

yai

Daima namsikia tu bali simwoni

upepo

Anakula lakini hashibi

mauti

Anatega huku akitambaa

boga

Atolewapo nje hufa

samaki

Atapanya mbegu nyingi sana lakini hazioti

mvua

Subiri kidogo haraka ya nini

mwiba

Nikiita baba huitika baba

mwangwi

Kukurukakara kukurukakara

karakana

Kiwanja kizuri lakini hakitui ndege

upara

Kuku wetu hutagia mayai mikiani

matunda

Hata jua likuwaka namna gani, hakikauki wala kupata joto

pua la mbwa

Hucheka saa yote

ngiri