• Shuffle
    Toggle On
    Toggle Off
  • Alphabetize
    Toggle On
    Toggle Off
  • Front First
    Toggle On
    Toggle Off
  • Both Sides
    Toggle On
    Toggle Off
  • Read
    Toggle On
    Toggle Off
Reading...
Front

Card Range To Study

through

image

Play button

image

Play button

image

Progress

1/138

Click to flip

Use LEFT and RIGHT arrow keys to navigate between flashcards;

Use UP and DOWN arrow keys to flip the card;

H to show hint;

A reads text to speech;

138 Cards in this Set

  • Front
  • Back
-olewa
be married
mna-
you have (m + na)
tuna-
we have (tu + na)
watatu
three (m/wa class)
-mesha
already
-oa
marry
mke
wife
-tengana
be separated
pole
my sympathy
-rudianna
reunite with, return to, go back to
sitaki
I don't want
talaka
divorce
bado
not yet (still)
mchumba
fiance
-itwa
be called
baada ya
after
-tegemea
expect, anticipate, rely on, count on
-funga
tie up, close, lock
ndoa
marriage
lini?
when?
jamaa
family, relatives
mwishoni mwa
at the end of
Inshallah!
God willing!
Nimeoa
I am married (man)
Nimeolewa
I am married (woman)
sijaoa
I am single (man)
sijaolewa
I am single (woman)
Mimi ni mtalaka
I am divorced
mume
husband
Mume wangu jina lake
My husband's name is...
Mkw wangu jina lake..
My wife's name is .....
-mesha-
already (tense marker)
nimeshafika
I have already arrived
-ja-
have not yet (tense marker)
sijafika
I have not yet arrived
hujafika
you have not yet arrived
hajafika
she/he has not yet arrived
hatujafika
we have not yet arrived
hamjafika
you have not yet arrived
hawajafika
they have not yet arrived
umesoma?
have you read/studied?
sijasoma
I haven't read yet
Mmetengana?
Have you (pl.) separated?
Hatujatengana
We haven't separated yet
bado sijaolewa
I have not yet married
bado ninafanya kazi
I am still working
nina
I have
tuna
we have
una
you have
mna
you (pl.) have
ana
he/she has
wana
they have
sina
I don't have
hatuna
we don't have
huna
you don't have
hamna
you (pl.) don't have
hana
he/she doesn't have
hawana
they don't have
kweli
true
si kweli
false
hawa
these (persons)
mkubwa
big, large
huyu
this (person)
miaka
years
mwaka
year
mwingine
other (person)
wa pili
the second, next
mdogo
little, small
wa tatu
the third
umri
age
mrefu
tall, long
babu
grandfather
-fanana
be alike, similar
sana
very, very much
kaka
brother
naye
and he (na + ye(ye))
mjomba
maternal uncle
tabia
nature, character
Nina mtoto mmoja
I have one child
Nina watoto wawili
I have two children
Tuna watoto watatu
We have three children
Tuna watoto wanne
We have four children
Sina watoto
I don't have children
Hatuna watoto
We don't have children
Ana miaka minane
She is 8 years old
Sifuri
zero
moja
one
mbili
two
tatu
three
nne
four
tano
five
sita
six
saba
seven
nane
eight
tisa
nine
kumi
10
ishirini
twenty
thelathini
thirty
arobaini
forty
hamsini
fifty
sitini
sixty
sabini
seventy
themanini
eighty
tisini
ninety
mia
hundred
elfu
thousand
laki
one hundred thousand
milioni
million
ngoma
drum, dance
njaa
hunger
ndizi
banana
njia
road
ndege
bird, airplane
mvua
rain
mbegu
seed
ng'ombe
cow
nyumba
house
barua
letter
kalamu
pen
kofia
hat, cap
saa
hour
sabuni
soap
motokaa
car
treni
train
simba
lion
kuku
chicken
samaki
fish
ndugu
brother
rafiki
friend
dadangu
my sister
-zaa
give birth, bear fruits
lini?
when?
baada ya
after
mwezi
month, moon
hivi
approximately (thus, so)
wa kwanza
the first
watoto wa kike
girl children
watoto wa kiume
boy children