• Shuffle
    Toggle On
    Toggle Off
  • Alphabetize
    Toggle On
    Toggle Off
  • Front First
    Toggle On
    Toggle Off
  • Both Sides
    Toggle On
    Toggle Off
  • Read
    Toggle On
    Toggle Off
Reading...
Front

Card Range To Study

through

image

Play button

image

Play button

image

Progress

1/108

Click to flip

Use LEFT and RIGHT arrow keys to navigate between flashcards;

Use UP and DOWN arrow keys to flip the card;

H to show hint;

A reads text to speech;

108 Cards in this Set

  • Front
  • Back
my father
baba yangu
my mother
mama yangu
my older brother
kaka yangu
my sister
dada yangu
Karibu nyumbani
Welcome (to my) home
Where do you live
Unaishi wapi
What are you doing?
Unafanya nini
Do you speak kiswahili
Unasema Kiswahili
Do you speak English?
Unasema Kiiingereza
I speak just a little Swahili
Ninasema Kiswahili kidogo tu
Sit down! Have a seat
Kaa chini!
I'm glad to meet you
Nimefurahi kukuona
Knock Knock
Hodi Hodi
This (here) is my father. His names is
Huyu hapa ni baba yangu, Jina lake ni Juma
And that's my mother. Her name is Aisha
Na yule mama yangu. Jina lake no Aisha
And those are my siblings. That's Daudi and that's Sarah
Na wale ni ndungu zangu. yule ni Daudi na yule ni Sarah
And these are my grandmother and grandfather
Na hawa ni bibi yangu na babu yangu
And this is my friend. His name is mark
Na huyu ni rafiki yangu. Jina lake ni Mark
How is America?
Habari za Marekani
Do you like Tanzania?
Unapenda Tanzania
Yes, I like Tanzania very much
Ndio, ninapenda sana Tanzania
Do you like Kiswahili also?
Unapenda kiswahilii pia?
Yes, I like Kiswahili but I don't speak Swahili yet. I only speak a little Swahili. Do you speak English, Baba Ali?
Ndio ninapenda Kiswahili, lakini sisema kiswahili bado. Ninasema Kiswahili kidogo tu. Unasema Kiingeraza Baba Ali?
I don't speak English, I speak Kiswahili only
Mimi sisemi Kiingeraza. Ninasema Kiswahili tu
Now I'm studying Kiswahili at the University of Dar es Salaam
Mimi ninasoma Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sasa.
Are you from Washington DC?
Wewe unatoka Washington DC?
No, I do not from Washington DC, I'm from New York
Hapana, sitoki Washington DC, ninatoka New York
And your friend is from where?
Na rafiki yako anatoka wapi?
My friend is from New York also
Rafiki yangu anatoka New York Pia
Does he speak Swahili?
Yeye anasema Kiswahili
No, he doesn't speak Kiswahili
Hapana, yeye hasemi Kiswahili
father
Baba
grandfather
babu
grandmother
bibi
sister
dada
here
hapa
brother
kaka
to live
kuishi
to live, to stay, to sit
kukaa
to sleep
kulala
to see
Kuona
to like/love
kupenda
mother
mama
maternal uncle
mjomba/wajomba
grandchild/grandchildren
mjukuu/wajukuu
wife/wives
mke/wake
nephew/nephews
mpwa/wapwa
child/children
mtoto/watoto
person/people
mtu/watu
husband/husbands
mume/waume
teacher/teachers
mwalimu/walimu
student/students
mwanafunzi/wanafunzi
parent/parents
mzazi/wazazi
older person/people
mzee/wazee
and, with
na
who?
nani?
siblings, relative, cousin
ndugu
friend
rafiki
paternal aunt
shangazi
How are things here
Habari za hapa
Here are my grandparents
Hawa hapa ni bibi na babu yangu
Here's my father
Huyu hapa ni baba yangu
This is my friend
Huyu ni rafiki yangu
Welcome to my home
Karibuni nyumbani
I like Tanzania a lot
Ninapenda sana Tanzania
Where does your friend come from?
Rafiki yako anatoka wapi?
My friend comes from Los Angeles
Rafiki yangu anatoka Los angeles
Nouns belonging to the same class function grammatically in the same way. T/F
TRUE
Swahili nouns are divided into how many noun classes?
eight
What are demonstratives?
Words used to point to people or things
For the m/wa noun class what is the demonstrative for "this"
huyu
For the m/wa noun class what is the demonstrative for "these"
hawa
For the m/wa noun class what is the demonstrative for "that"
yule
For the m/wa noun class what is the demonstrative for "those"
wale
This is Ali. That is Lela
Huyu ni Ali. Yule ni Lela
This is a teacher
Huyu ni mwalimu
That's (those are) Ali and Lela
Wale ni Ali na Lela
These (people) are (my) mother and father
Hawa ni baba na mama
These are students
Hawa ni wanafunzi
Those are children
Wale ni watoto
What are the steps to forming a possessive in Swahili
Step 1: Find the possessive root that fits the possessive
Step 2: add a prefix depending upon the noun class
What is the possessive root for "my"
-angu
What is the possessive root for "your"
-ako
What is the possessive root for "his/her"
-ake
What is the possessive root for "our"
-etu
What is the possessive root for "your (pl.)"
-enu
What is the possessive root for "their"
-ao
The possessive prefix for the M-Wa class is what?
w 9e.g., wangu(my) wako(your), wake(his/her)
These are my children
Hawa ni watoto
That is our teacher
Yule ni mwalimu wetu
Are these your parents?
Hawa ni wazazi wenu?
These are our parents
Hawa ni wazazi wetu
Those are their children
Wale ni watoto wao
What are the important characteristics of the negative present tense?
First, the affirmative ending -a changes to -i in the negative
Second, the present infix -na- is omitted
Third, the negative prefix ha-(as in hapana) is added
What is an exception to changing into the negative present tense?
In the mimi(I) form the prefix si- is used instead of ha-

Also, in the wewe (you) and yeye(he/she) forms the -a in ha- is absorbed by the vowel at the beginning of the subject prefixes u- and a-
Give all the negative conjugations of kutoka for
I
You
He/she
We
They (ply)
Wao (they)
I= sitoki
2=hutoki
3= hatoki
4 - hatutoki
5= ham toki
6= hawa toki
I'm studying
Mimi ninasoma
I'm not studying
Mimi sisomi
You aren't studying
Wewe husomi
She's not studying
Yeye hasomi
We are not studying
Siss hatusomi
They're not studying
Wao hawasomi
Swahili verbs that do not end with -as (such as kuishi(to live) don't change ending when negated
TRU
I don't live in the United States.
Mimi siishi Marekani
She's not returning to the US
Yeye harudi Marekani
You're not responding
Wewe hujibu
They don't tnink
Waoo hawafikiri
We aren't trying
Sisi hatujaribu