Study your flashcards anywhere!

Download the official Cram app for free >

 • Shuffle
  Toggle On
  Toggle Off
 • Alphabetize
  Toggle On
  Toggle Off
 • Front First
  Toggle On
  Toggle Off
 • Both Sides
  Toggle On
  Toggle Off
 • Read
  Toggle On
  Toggle Off
Reading...
Front

How to study your flashcards.

Right/Left arrow keys: Navigate between flashcards.right arrow keyleft arrow key

Up/Down arrow keys: Flip the card between the front and back.down keyup key

H key: Show hint (3rd side).h key

A key: Read text to speech.a key

image

Play button

image

Play button

image

Progress

1/110

Click to flip

110 Cards in this Set

 • Front
 • Back
Ninatalea kujiandikisha hotelini.
I'd like to check in.
Ninataka chumba.
I'd like a room.
Cha mtu moja.
For one person.
Cha watu wawili.
For two people.
Nina maagizo tayari.
I have a reservation.
Ya siku ngapi?
For how many nights?
Ya siku moja.
For one night.
Ya siku mbili.
For two nights.
Ya wiki moja.
For one week.
Huu hapa ufunguo wako.
Here is your key.
Hii hapa ni kadi yako ya ufunguo.
Here is your key card.
Una chumba kingine?
Do you have another room?
Chenye bafu?
With a private bathroom?
Chenye deta-poti?
With a data port?
Je, kuna chumba kitulivu zaidi?
Is there a quieter room?
Je, kuna chumba kikubwa zaidi?
Is there a larger room?
Je, kuna chumba cha mazoezi?
Is there an exercise room?
Je, kuna bwawa la kuogelea?
Is there a pool?
Chumba cha mkutano kiko wapi?
Where is the conference room?
Ninawezaje kutuma faksi?
How can I send a fax?
Yuko wapi mhudumu?
Where is the concierge?
Ninataka kuondoka hotelini.
I'd like to check out.
Hujambo! Jina lako nani?
Hello! What's your name?
Unatoka wapi?
Where are you from?
Ninatoka New York.
I am from New York.
Ninaweza kuketi hapa?
May I sit here?
Ninaishi Nairobi.
I live in Nairobi.
Huyu ni rafiki yangu.
This is my friend.
Huyu ni mpenzi wangu.
This is my boyfriend/girlfriend.
Huyu ni mke wangu.
This is my wife.
Huyu ni mume wangu.
This is my husband.
Niko katika safari ya biashara.
I'm on a business trip.
Ninasafiri na familia yangu.
I'm traveling with my family.
Tuko katika likizo hapa.
We are on vacation here.
Umepata kwenda Marekani?
Have you been to the United States?
Nchi yako ni nzuri sana.
Your country is very beautiful.
Ninapenda chakula cha hapa sana sana.
I like the food here very much.
Unapenda kwenda sinema?
Do you like to go to the movies?
Unapenda kucheza ngoma?
Do you like to dance?
Twende!
Let's go!
Ninataka ukutane na marafiki zangu.
I'd like you to meet my friends.
Hii hapa nambari yangu ya simu.
Here is my telephone number.
Nambari yako ya simu ni ngapi?
What is your telephone number?
Ninakaa hoteli ya Whitesands.
I'm staying at the Whitesands Hotel.
Tukutane leo jioni.
Let's get together in the evening.
Tafadhali nitembelee.
Please visit me.
Nilifurahi sana.
I had a wonderful time.
Mkahawa mzuri unapatikana wapi?
Where is a good restaurant?
Tunaomba meza ya watu wawili, tafadhali.
A table for two please.
Unapenda eneo la wavutaji au hupendi?
Smoking or non-smoking?
Niletee orodha ya chakula tafadhali.
The menu, please.
Niletee orodha ya mvinyo tafadhali.
The wine list, please.
vionjo
appetizers
mlo mkuu
main course
dizati
dessert
saladi
salad
matunda
fruit
Ninataka kinywaji.
I would like something to drink.
Gilasi ya maji, tafadhali.
A glass of water, please.
Kikombe cha chai, tafadhali.
A cup of tea, please.
Kahawa yenye maziwa, tafadhali.
Coffee with milk, please.
Bia, tafadhali.
Beer, please.
una chakula cha mboga mboga?
Do you have a vegetarian dish?
Basi.
That's all.
Niletee hesabu tafadhali.
The check, please.
Bakshishi imo ndani?
Is the tip included?
chakula cha asubuhi
breakfast
chakula cha mchana
lunch
chakula cha jioni
dinner
Karibu chakula!
Enjoy the meal!
Kwa afya yako!
To your health!
Chakula kitamu sana!
It's delicious!
sahani
plate
uma
fork
kisu
knife
kijiko
spoon
vijiti
chopsticks
kitambaa cha mezani
napkin
kikombe
cup
gilasi
glass
chupa ya mvinyo
a bottle of wine
vipande ya barafu
ice cubes
chumvi
salt
manga
pepper
sukari
sugar
supu
soup
saladi
salad
mkate
bread
siagi
butter
tambi
noodles
wali
rice
jibini
cheese
mboga
vegetables
nyama ya kuku
chicken
nyama ya nguruwe
pork
nyama ya ng'ombe
beef
Mimi hupenda mnofu ambao haujaiva kabisa.
I would like the steak rare.
Mimi hupenda mnofu ulioiva wastani.
I would like the steak medium.
Mimi hupenda steki iliyoiva vizuri sana.
I would like the steak well-done.
maji ya matunda
juice
andazi
pie
aiskriumu
ice cream
Tena, tafadhali.
Another, please.
Zaidi, tafadhali.
More, please.
Tafadhali, niletee...
Please pass the...
kali
spicy
ya "spice"
spicy
tamu
sweet
chachu
sour
Unaishi wapi?
Where do you live?